KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA BW. BENEDICT OLE KUYAN AKIZINDUA MRADI WA MAJI WA KIJIJI CHA UBANGAA KILICHOPO WILAYANI PANGANI HIVI KARIBUNI. |
BAADA YA KUZINDUA MRADI WA MAJI KAIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA BW. BENEDICT OLE KUYAN ALIMBANDIKA NDOO YA MAJI MAMA MMOJA KIJIJINI HAPO KAMA ISHARA YA KUZINDUA MRADI HUO. |
No comments:
Post a Comment