RAISA SAID AKICHAGUA UREMBO WA KUVAA NA KUJIPAMBA MWANAMKE KWENYE VIWANJA VYA TANGAMANO KULIKOFANYIKA SHEREHE ZA WIKI WA WALEMAVU. |
MZUNGU AMBAYE JINA LAKE HALIKUPATIKANA MARA MOJA NAYE PIA ALIVUTIWA NA UREMBO WA KUJIPAMBA MWANAMKE ALIPONUNUA ILI NAYE AWE KAMA MWAFRIKA. |
RAISA SAID NA RAFIKI YAKE WA KIZUNGU WAKIKUMBATIANA BAADA YA KILA MMOJA KUNUNUA UREMBO WA KUJIPAMBA MWANAMKE KWENYE VIWANJA HIVYO VYA TANGAMANO. |
No comments:
Post a Comment