KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA BW. BENEDICT OLE KUYAN AKIWAONGOZA WATUMISHI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KUPIMA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI AMBAPO KATI YA WATUMISHI 77 WALIOHUDHURIA SEMINA YA UKIMWI 70 WALIPIMA AMBAPO KATI YA HAO 45 WALIPIMA NA KUCHUKUA MAJIBU YAO PAPO HAPO NA WENGINE WALIOBAKI HAWAKUCHUKUA MAJIBU YAO NA WATUMISHI 7 HAWAKWENDA KUPIMA KWA UWOGA. |
No comments:
Post a Comment