MDAU MKUBWA WA MAWASILIANO YA ELETRONIKI MKOANI TANGA BW. MOHAMED HAMMIE RAJAB 'ANKO MO' AMBAYE ANAMILIKI BLOGU YA ANKO MO.BLOGSPOT.COM YENYE VIJIMAMBO VYA TANGA, AMEPATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI KATIKA MAENEO YA JIJI LA TANGA ALIPOKUWA KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA PILIPILI ZA KILA SIKU KUSAKA MATUKIO MAPYA. ANKO MO HIVI SASA YUPO WILAYANI PANGANI AKIPATA MATIBABU. BLOGU HII YA MZEE WA BONDE INAMPA POLE MNO NA INAMTAKIWA APONE HARAKA ILI AENDELEE NA SHUGHULI ZAKE KWA AJILI YA MKATE WA KILA SIKU. |
No comments:
Post a Comment