Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Thursday, October 28, 2010
Dkt Kigoda na mkandarasi wa maji
Mgombea ubunge wa jimbo la handeni mkoani Tanga Dkt Abdallah Kigoda akisalimiana na mkurugenzi wa kampuni ya Subhash Sing, Bw. Mahitan Sing mara baada ya kuzindua bwawa la maji eneo la Kwenjugo Magharibi wilayani humo.
No comments:
Post a Comment