| WAJUMBE WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA WA TANGA WAKISHUHUDIA TUKIO LA KUKABIDHIWA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU MKOANI TANGA AMBAO NI MAALUM KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU |
Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Friday, November 25, 2011
MWENGE WAKIMBIZWA TANGA KISHA WAKABIDHIWA MOROGORO
Tuesday, November 15, 2011
WANANCHI TANGA WATOA RAMBIRAMBI KWA WALIOKUFA KWA AJLI YA MELI YA MV SPICE ISLENDARS
Na Mashaka Mhando,Zanzibar
MKUU wa mkoa wa Tanga, luteni (mstaafu) Chiku Gallawa, amesema wananchi wa mkoa huo, waliupokea kwa masikitiko makubwa msiba wa wananchi waliokuwemo kwenye meli ya Mv Spice Islanders iliyozama miezi miwili iliyopita kwenye mkondo wa Nungwi Visiwani humo, na kwamba wameguswa hasa kutokana na ukaribu wake na visiwa hivyo.
Akizungumza juzi wakati wa kukabidhi rambirambi ya michango kwa ajili ya watu waliopeza maisha kwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi, Seif Alli Idd, Mkuu huyo wa mkoa alisema kuwa wanachi wa mkoa wa Tanga waliuopokea kwa masikitiko makubwa msiba huu mzito kutokana na mkoa huo kuwa na mahusiano ya karibu kutokana na kutenganishwa na bahari ya Hindi.
Alisema kuwa msiba huo utazidi kuwaunganisha wananchi wa mkoa huo na Visiwani humo katika kipindi chote cha raha, tabu na majonzi ya kuwakumbuka ndugu zao waliopoteza maisha kwenye jali hiyo na kwamba wataendelea kuwaombea ili mwenyezi Mungu awalale mahali pema peponi.
"Tanga na Zanzibar ni karibu sana na wanachi wa pande zote mbili wana mahusiano ya karibu sana.wameguswa na msiba huu na wameomba tuwasilishe pole nyingi sana pamoja na rambirambi hii ya hundi ya sh 11,288,250, msiba huu utazidi kuwaunganisha katika kipindi chote cha raha na taabu, wameomba mwenyezi mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu," alisema Mkuu huyo wa mkoa.
Luteni Gallawa aliwataka wale waliokabidhiwa dhima ya kusafirisha abiria katika vyombo vya usafiri wawe wanajali maisha ya watumiaji wao na kwamba wakati mwingine majanga ya namna hiyo yamekuwa yakiepukika lakini kutokana na wasafiishaji kujaza watu kupita kiasi hupelekea matatizo ambayo husababisha maafa kama yaliyotokea kwenye meli hiyo.
Kwa upande wake Makamu wa rais, alishukuru mchango huo kutoka kwa majirani zao wa karibu na kwamba rambirambi hiyo ni kielelezo tosha cha Muungano uliotukuka baina ya wananchi wa visiwani na bara kwa kujaliana katika shida na raha hasa katika ajali hiyo ambayo haiwezi kusauliwa kutoka na uwingi wa vifo vya watu waliopoteza maisha.
"Ulikuwa ni msiba mkubwa katika historia ya Zanzibar, watu 203 walithibitika kufariki na 619 waliokolewa, serkali zote mbili ya Muungano na ya Mapinduzi Zanzibar zilishirikana katika kipidi chote cha janga hili, na kuwasaidia wahanga hao," alisema Makamu huyo wa Rais.
Alisema tume imeundwa kuchunguza mkasa huu na serikali ya SMZ itatoa majibu yake hadharani kwa wananchi ili kuepusha janga kama hilo lisitokee tena na kwamba michango yote itapokelewa na kutumiwa kwa makusudi kwa kadri itakavoamriwa na serikali.
Ujumbe wa Tanga kwenda visiwani humo uliongozwa na Mkuu huyo wa mkoa, pia walikuwemo Mwenyekiti wa CCM mkoa Bw. Mussa Shekimweri Mkuu wa wilaya ya Tanga Dkt Ibrahim Msengi, Mkuu wa wilaya ya Muheza Bw. Methew Nasei na mwakilishi wa wafanyabiashara mkoani Tanga Bw.Salim Abdallaziz kutoka kampuni ya unga wa ngano ya Pembe.

Sunday, November 6, 2011
KUMBE KUNA SAMAKI WAKUBWA KIASI HIKI!
| JUMA (KUSHOTO) NA SUFIANI WAKIVUA SAMAKI |
| ADAM NA SAID WAKIVUA SAMAKI KWA CHANDARUA KILICHOTOLEWA KWA AJILI YA KUJIKINGA NA MALARIA, LAKINI WANAKITUMIA KUVULIA SAMAKI. |
| VIJANA WAKIVUA HUKU WAKICHEZA KATIKA DARAJA HILO |
| SAMAKI WALIOVULIWA KATIKA DARAJA HILO |
| "...TUNAPATA SAMAKI HAPA, WEEE USICHEZE SI UNAWAONA HAWA...SHULE KWANINI BANA SI NAVUA NIKIUZA NITAPATA PESA...,ANASEMA GUMBO MLIMBO |
Wednesday, November 2, 2011
TICTS YAKUTANA NA WADAU WAKE KWENYE HOTELI YA TANGA BEACH RESORT
| WADAU WA MKUTANO ULIOITISHWA NA TICTS KWENYE HOTELI YA TANGA BEACH RESORT KUZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA KAMPUNI HIZO. |
| WADAU WAKISIKILIZA KWA MAKINI MKUTANO WA WADAU WA TICTS |
| WADAU WAKIPIA PICHA YA PAMOJA KWENYE HOTELI YA TANGA BEACH RESORT JIJINI TANGA. |
Saturday, October 29, 2011
MKUU WA MKOA ATEMBELEA MGODI WA KUZALISHA UMEME WA HALE, AKUTANA NA CHANGAMOTO
| INJINIA PAKAYA MTEMAKAYA (ALIYENYOOSHA MKONO JUU) AKIMWELEZA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI CHIKU GALLAWA (KUSHOTO) NAMNA UZALISHAJI UNAVYOFANYIKA KWENYE MGODI HUO WA KUZALISHA UMEME HALE. |
| INJINIA PAKAYA MTEKAYA AKIMWELEZA MKUU WA MKOA NAMNA ABAVYO CHANAMOTO ZA UZALISHAJI UMEME ZINAVYOSABABISHA WAKAI MWININE WASHINDWE KUZALISHA KWA UFANISI |
| MKUU WA MKOA AKITOA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUANGALIA CHANGAMOTO WANZOKABILIANA NAZO WATENDAJI WA MGODI WA KUZALISHA UMEME HALE HUKU WATENDAJI HAO WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI. |
| INJINIA MUSIMU MAKUNGA MSIMAMIZI WA MGODI WA KUZALISHA UMEME WA PANGANI FALLS AKITOA MAELEKEZO WA JINSI WANAVYOWEZA KUENDESHA MITAMBO HIYO YA KUZALISHA UMEME KATIKA MAJUKUMU YAO YA KILA SIKU. |
| MKUU WA MKOA NA WENYEJI WAKE WA MGODI WA KUZALISHA UMEME WALIPATA FURSA YA KUTEMBELEA MGODI WA ZAMANI WA KUZALISHA UMEME WA OLD PANGANI FALLS KWA KUPANDA KIBERENGE KAMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA. |
| HAPA MKUU WA MKOA LUTENI CHIKU GALLAWA AKIWA NA MSAFARA WAKE WAKIANGALIA KINA CHA MAJI KATIKA BWAWA LILILOZUIWA KWA AJILI YA KUPELEKA MAJI KATIKA MGODI HUO |
Friday, October 28, 2011
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA BARABARA YA TANGA/HOROHORO, BANDARI YA TANGA
| KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIUNDOMBINU INJINIA OMARI CHAMBO, AKITOA UFAFANUZI KWA WABUNGE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU WALIOKUWA KWENYE MKUTANO KWENYE JENGO LA BANDARI HOUSE TANGA |
| WATENDAJI WA BANDARI YA TANGA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MICHANGO YA WABUNGE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU |
| KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIUNDOMBINU INJINIA OMARI CHAMBO (KATIKATI) AKIELEZEA JAMBO KWA WABUNGE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU WALIOTEMBELEA BANDARI YA TANGA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI |
| HAPA WAJUMBE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU WAKIWA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA, WAKIPATA MAELEZO KATIKA ENEO LA KUINGIA KATIKA ENEO AMBALO LITAJENGWA BANDARI MPYA SEHEMU YA MWAMBANI |
| WABUNGE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU NA WAFANYAKZI WA BANDARI YA TANGA, WAKITAZAMA ENEO AMBALO LITAJENGWA BANDARI YA KINA KIREFU KATIKA SEHEMU YA MWAMBANI |
| WAHESHIMKWA WABUNGE WA KAMATI YA MIUNDOMBINU WAKITEMBEA KWA MIGUU KWENDA KUANGALIA DARAJA LA NDOYO AMBALO WACHINA WA KAMPUNI YA SINOHYDRO WAMELIJENGA KWA UBORA WA HALI YA JUU |
| MWENYEKITI WA KAMATI PETER SERUKAMBA (MBELE) AKIWAONGOZA WABUNGE WENZAKE KUTEMBELEA BARABARA YA TANGA/HOROHORO |
Thursday, October 27, 2011
MKUU WA MKOA WA TANGA, ATEMBELEA VIWANDA NI ZIARA YAKE YA KWANZA TANGU ATEULIWE KUWA RC MPYA
Monday, October 24, 2011
KILA LA KHERI COASTAL UNION LEO ISHINDWE DHIDI YA POLISI DODOMA
UNAPOWAPA WATOTO CHAKULA SHULENI UWEZO WAO WA KUFIKIRI UNAONGEZEKA
| MMOJA WA WALIMU WA SHULE YA LWENGERA ESTATE AKIWAPAKULIA CHAKULA 'WALI' WANAFUNZI WA DARASA LA AWALI WA SHULE HIYO MARA BAADA YA KUMALIZA VIPINDI VYAO VYA MASOMO. |
Sunday, October 23, 2011
SEKONDARI YA SHEMSANGA YAUNGUA TENA MOTO, SAFARI HII CHANZO CHAKE NI HITILAFU YA UMEME
| SHULE YA SHEMSANGA INAYOMILIKIWA NA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM ILIYOPO WILAYANI KOROGWE IMEUNGUA MOTO NA KUSABABISHA HASARA INAYOKADIRIWA KUFIKIA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 10 |
| MKUU WA SHULE YA SHEMSANGAGA BW. PASCHAL DEOGRADIUS AKIANGALIA HUKU HAAMINI MOJA YA CHUMBA AMBACHO KILIKUWA NI BWENI LA KULALA LA WANAFUNZI HAO. |
| MOJA YA BWENI AMBALO LIMETEKETEA KABISA KATIKA SHULE HIYO. |
Thursday, October 20, 2011
AIRTEL YAKARIBIA KUWASHA MTANDAO WAKE KATA YA KIZARA, BUNGU KWA PROFESA MAJIMAREFU
Subscribe to:
Posts (Atom)