KIKOSI CHA COASTAL UNION AMBACHO LEO KITAPAMBANA NA TIMU YA POLISI DODOMA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI MAJIRA YA SAA 10:00 JIONI MCHEZO AMBAO UNATARAJIWA KUWA MKALI HASA KUTOKANA NA POLISI KUFUNGWA BAO 3-1 NA AZAM KWENYE UWANJA WA CHAMANZI JIJINI DAR ES SALAAM NA 'WAGOSI WA KAYA' KUWA KATIKA KIWANGO KIZURI TANGU WALIPOISARAMBATISHA VILLA SQUAD KWA MABAO 6-1 NA TIMU HIYO KUPUMZIKA MUDA MREFI HIVYO WATAINGIA UWANJANI WAKIW ANA ARI YA KUENDELEZA USHINDI CHINI YA KOCHA WAO MAHIRI JAMHURI KIHWELO 'JULIO'. MARA YA MWISHO TIMU HIZO KUCHEZA KWENYE UWANJA HUO ILIKUWA MWAKA 2008 AMBAPO POLISI WALIIFUNGA COASTAL BAO 1-0 BAO LILILOFUNGWA NA BANTU ADIMIN KIPINDI CHA PILI, JE COASTAL WATAFUNJWA MWIKO WA KUFUNGWA NA TIMU HIYO KWENYE UWANJA WAKE WA NYUMBANI? |
No comments:
Post a Comment