SHULE YA SHEMSANGA INAYOMILIKIWA NA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM ILIYOPO WILAYANI KOROGWE IMEUNGUA MOTO NA KUSABABISHA HASARA INAYOKADIRIWA KUFIKIA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 10 |
MKUU WA SHULE YA SHEMSANGAGA BW. PASCHAL DEOGRADIUS AKIANGALIA HUKU HAAMINI MOJA YA CHUMBA AMBACHO KILIKUWA NI BWENI LA KULALA LA WANAFUNZI HAO. |
MOJA YA BWENI AMBALO LIMETEKETEA KABISA KATIKA SHULE HIYO. |
No comments:
Post a Comment