MKUU WA MKOA WA TANGA, LUTENI (Mstaafu) CHIKU GALAWA (kushoto) AMEANZA ZIARA YA KUTEMBELEA VIWANDA VILIVYOPO JIJINI TANGA, KUONA SHUGHULI MBALIMBALI WANAZOZIFANYA IKIWA NI ZIARA YAKE YA KUJIFUNZA NAMNA VIWANDA VILIVYOPO HAPA VINAVYOKABILIWA NA MATATIZO, PICHA HII RC HUYO ALIIPIGA WILAYANI PANGANI ALIKOKWENDA KUTAMBULISHWA NA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA HUU, MEJA GENERALI SAID KALEMBO (katati) WALIYEKUWA NAYE NI MDAU WA TEKLONOJIA YA ELETRONIKI MOHAMED HAMMIE 'ANKO MO'. |
No comments:
Post a Comment