INJINIA PAKAYA MTEMAKAYA (ALIYENYOOSHA MKONO JUU) AKIMWELEZA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI CHIKU GALLAWA (KUSHOTO) NAMNA UZALISHAJI UNAVYOFANYIKA KWENYE MGODI HUO WA KUZALISHA UMEME HALE. |
INJINIA PAKAYA MTEKAYA AKIMWELEZA MKUU WA MKOA NAMNA ABAVYO CHANAMOTO ZA UZALISHAJI UMEME ZINAVYOSABABISHA WAKAI MWININE WASHINDWE KUZALISHA KWA UFANISI |
MKUU WA MKOA AKITOA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUANGALIA CHANGAMOTO WANZOKABILIANA NAZO WATENDAJI WA MGODI WA KUZALISHA UMEME HALE HUKU WATENDAJI HAO WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI. |
INJINIA MUSIMU MAKUNGA MSIMAMIZI WA MGODI WA KUZALISHA UMEME WA PANGANI FALLS AKITOA MAELEKEZO WA JINSI WANAVYOWEZA KUENDESHA MITAMBO HIYO YA KUZALISHA UMEME KATIKA MAJUKUMU YAO YA KILA SIKU. |
MKUU WA MKOA NA WENYEJI WAKE WA MGODI WA KUZALISHA UMEME WALIPATA FURSA YA KUTEMBELEA MGODI WA ZAMANI WA KUZALISHA UMEME WA OLD PANGANI FALLS KWA KUPANDA KIBERENGE KAMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA. |
HAPA MKUU WA MKOA LUTENI CHIKU GALLAWA AKIWA NA MSAFARA WAKE WAKIANGALIA KINA CHA MAJI KATIKA BWAWA LILILOZUIWA KWA AJILI YA KUPELEKA MAJI KATIKA MGODI HUO |
No comments:
Post a Comment