![]() |
RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI AKIJISHIKA MDOMO BAADA YA MADAKTARI WA IKULU YA WHITE HOUSE KUMSHONWA NYUZI 12, MWINGINE NI MLINZI WAKE. |
![]() |
RAIS BARACK OBAMA NA MKEWE MICHELLE WAKIFURAHI. |
![]() |
RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI |
RAIS Barack Obama wa Marekani amepata ajali wakati akicheza mpira wa kikapu asubuhi leo Ijumaa huko Fort McNair Washington DC na kulazimika timu ya madaktari wa Ikulu ya White House imshone nyuzi takribani 12.
Kabla ya kushonwa Rais huyo alilalamika maumivu ya mdomo baada ya kugongana na mmoja wa wachezaji wa timu pinzani walipokuwa kwenye uwanja huo na kusababisha Rais huyo akimbizwe na walinzi wake hadi kwa madaktari hao wa Ikulu.
Rais Obama alishonwa nyuzi za kawaida zilizopatikana kwa wakati tukio hilo likitokea nyuzi ambazo zilikuwa ndogo tofauti na zinazohitajika zilizopelekea kushonwa nyingi mdomoni. Kwa habari zaidi dondoka hapa chin

He was photographed in a grey T-shirt and jogging bottoms leaving the basketball facility, holding his bottom lip.
A few hours later, reporters who had gathered on the White House driveway for the arrival of the Christmas Tree saw the president in an upstairs window, pressing what appeared to be a cold compress against his mouth.
The president has been a long time player of the sport, and has even been seen to take to the court with Cabinet members.
No comments:
Post a Comment