![]() |
| MWINGINE AKIPIMA DAMU KWA MUUGUZI WA HOSPITALI YA BOMBO |
![]() |
| MAKAO MAKUU YA BILAL MUSLIM ILIYOPO BARABARA YA 5 JIJINI TANGA. |
![]() |
| WAKIFANYA MAANDAMANO KUSHEREHEKEA SIKUKUU YAO. |
![]() |
| WAKIENDELEA NA MAANDAMANO KATIKA MITAA MBALIMBALI YA JIJI HILO. |
![]() |
| WANAENDELEA NA MAANDAMANO YAO NA WENGINE WAKIWA KWENYE MAGARI |
![]() |
| NA VIJANA WA AINA MBALIMBALI WALIKUWEPO KWENYE MAANDAMANO HAYO. |
![]() |
| UKIANDAMANA LAZIMA USHIKE KIFUA AU SHINGO NA UONESHE HISIA KWELI |
![]() |
| UTAULIZA HAWAFIKI TU MAANA TANGU HUKO WANAANDAMANA TU LAKINI WALIFIKA KWENYE MSIKITI WAO HUO WA BARABARA 5 WAKAFANYA SHEREHE ZAO HIZO KWA AMANI TU. |









No comments:
Post a Comment