![]() |
TUNAWATAKIWA KILA LA KHERI WAISLAMU WOTE NA WAPENZI WA BLOGU HII YA WATU NA MATUKIO YA MZEE WA BONDE KATIKA MFUNGO HUU WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI AMBAO UMEANDAMA NA SIKU 29 SHAABANI HIVYO KUANZIA AUGOSTI MOSI WAISLAMU WOTE WA AFRIKA MASHARIKI WATAANZA KUFUNGA, TUNAWATAKIWA MFUNGO MWEMA NA MUNGU AWAEPUSHIE SABABU MBALIMBALI ZA KUACHA KUFUNGA KWA VYOVYOTE VILE, AMEEN. |
No comments:
Post a Comment