KOCHA JAMHURI KIHWELO 'JULLIO' AKIWEKA KONI IKIWA NI SIKU YAKE YA KWANZA KUINOA TIMU YAKE MPYA YA COASTAL UNION KWENYE UWANJA WA GYMKHANA AMBAKO TIMU HIYO INACHUKUA MAZOEZI. |
WACHEZAJI WA TIMU YA COASTAL UNION WAKIW ANA KOCHA WAO JAMHURI KIHWELO 'JULIO' WAKIFANYA MAZOEZI KWENYE UWANJA WA GYMKHANA JIJINI TANGA AMBAKO TIMU HIYO INAFANYA MAZOEZI. |
No comments:
Post a Comment