WANAFUNZI WAKITOA BURUDANI KUSHEREHEKEA SIKU BENKI YA POSTA ILIPOKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WAKE WALIOFUNGUA AKAUNTI. |
WASHINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KILA MTU KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO AMBAZO ZILIKUWA FRIJI, TELEVISHENI NA ZAWADI NYINGINE NDOGONDOGO. |
BW. BARUTO OFISA WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA NAYE ALIKUWA MIONGONI MWA WATEJA WA BENKI HIYO WALIOPATA ZAWADI YA TELEVISHENI. |
No comments:
Post a Comment