MENEJA WA MFUKO WA PPF KANDA YA KINONDONI YENYE MIKOA YA TANGA, PWANI NA WILAYA YA KINONDONI, BW. EMANUEL KAKUYU (Kushoto) AKIMKABIDHI CHETI CHA UANACHAMA WA MFUMO WA AMANA (DEPOSIT ADMINISTRATION SCHEME) MKUU WA MKOA WA TANGA MEJA JENERALI (Mstaafu) SAID KALEMBO HIVI KARIBUNI PPF WALIPOFANYA SEMINA KWA WADAU WAO WA MKOA WA TANGA ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA HOTELI YA TANGA BEACH RESORT. |
No comments:
Post a Comment