MZEE WA BONDE NA BINTI YAKE LULU PAMOJA NA FAMILIA YAKE YOTE WANAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2011 WASOMAJI WA BLOGU HII. |
TUNAWATAKIA KILA LA KHERI WASOMAJI WETU WA BLOGU HII KATIKA KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA WA 2011.
KATIKA KIPINDI HIKI CHA MWAKA MPYA TUTAJITAHIDI KUKULETEENI MATUKIO MENGI KATIKA KILA KONA YA NCHI HII.
No comments:
Post a Comment