BW. TARIMO WA ECKENFORDE AKIKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA MMOJA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA ELIMU MKOANI TANGA NA WAZIRI WA UWEKEZAJI DKT MARY NAGU. |
ALIYEKUWA MEYA WA JIJI LA TANGA (sasa mtu wa kawaida) SALIM KISAUJI (kushoto) AKIWA NA SWAHIBA WAKE BW. MABAMVUA ALIYEKUWA NAIBU WAKE SASA WOTE WALIKOSA NAFASI ZA UDIWANI BW. MABAMVUA ALIGOMBEA UDIWANI KATA YA DUGA AKASHINDWA NA BW. KISAUJI ALIGOMBEA UBUNGE AKASHINDWA. NAO WALIKUWEPO KWENYE MKUTANO HUO WA UWEKEZAJI ULIOFANYIKA KWENYE HOTEL YA MKONGE JIJINI TANGA.
WADAU MBALIMBALI WALIKUWEPO KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI MKOA WA TANGA AMBAO ULITUMIKA KUJADILI KWA KINA FURSA ZILIZOPO NA NAMNA AMBAZO ZITATUMIKA KWA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WAKUBWA AMBAO WAMEKUWA NA MITAJI MIKUBWA.MKUTANO HUO PIA BAADHI YA WATU WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KATIKA MAENDELEO YA MKOA HUO WALIKABIDHIWA VYETI VYA HESHIMA NA WAZIRI WA UWEZESHAJI DKT MARY NAGU KWENYE MKUTANO HUO.
No comments:
Post a Comment