POLISI NI KIBOKO NDIVYO UNAVYOWEZA KUSEMA BAADA YA MKE WA KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT WILBROAD SLAA JOSEPHINE MASHUMBUSI KUPATA KIPIGO KIKALI KUTOKA KWA ASKARI WA FFU WALIYOTAWANYA MAANDAMANO HARAMU YALIYOPIGWA MARUFUKU NA POLISI NCHINI HUKO MKOANI ARUSHA, WATU KADHAA WALIJERUHIWA VIBAYA IKIWEMO WABUNGE WATATU WA CHAMA HICHO WAKISHIKILIWA NA POLISI AKIWEMO BW. JOSEPH SELASINI MBUNGE WA ROMBO MKOANI KILIMANJARO. |
No comments:
Post a Comment