VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO BW. FREEMAN MBOWE (Watano kutoka kulia) NA KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO BW. WILBROAD SLAA (Wa nne kushoto) WAKIONGOZA MAANDAMANO YALIYOPIGWA MARUFUKU NA JESHI LA POLISI KWA SABABU ZA KIUSALAMA MKOANI ARUSHA. HATA HIVYO BAADA YA MAANDAMANO HAYO POLISI WALIWATAWANYA KWA MABOMU YA MACHOZI NA TAARIFA ZINASEMA KUWA POLISI WANAMSHIKILIA KWA MAHOJIANO MWENYEKITI WA CHAMA HICHO BW. MBOWE. |
No comments:
Post a Comment