MKUU WA MKOA WA TANGA MEJA JENERALI SAIDI KALEMBO AKIANGALIA NAMNA JIJI WASIVYOWEZA KUZIBUA MITARO AMBAYO INAWEZA KULETA MAGONJWA YA MILIPUKO. HAPA NI SEHEMU YA HOTELI YA SALZ NYUMA YA HOTELI YA SP JIRANI KABISA NA MLANGO WA KUINGILIA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA. |
No comments:
Post a Comment