BANDARI YA TANGA INAVYOONEKANA PICHANI |
BANDA LINALOFANYA BIASHARA YA MNADA WA SAMAKI LILILOPO ENEO LA DEEP SEA KATIKA JIJI LA TANGA NI MOJA YA ENEO LA SIKU NYINGI SANA PEMBEZONI MWA BANDARI YA TANGA. |
SHAZI HILI LA SAMAKI LILIUZWA SH. 18,000, SAMAKI SASA HIVI WANABEI SANA NA HASA HII JULAI! |
Pia T.R.A wanachangia bandari kudorora siyo ya Tanga tu. Hasa kwa kipindi hiki cha hapa kazi tu. Ndiyo Hali imekuwa ngumu zaidi.ila anaeumia zaidi ni watu wakipato cha chini ambao ndiyo wengi katika nchi yeti
ReplyDelete