WAISLAMU WOTE NCHINI JUMATANO WANASHEREHEKEA SIKUKUU YA ID EL FITR, HIVYO BLOGU HII YA MATUKIO YA MZEE WA BONDE, INAWATAKIWA KILA LA KHERI KATIKA SIKUKUU HIYO, TUNAWAOMBA NDUGU ZETU TUSIWE CHANZO CHA VURUGU KAIKA MAENEO YA BURUDANI, TUWE WASTAARABU NA WAKIMYA KAMA WAKATI WA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHANI. |
No comments:
Post a Comment