JIWE HILI LINALOGAWANYA MPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA, HAPA UPANDE WA KULIA WA PICHA JIRANI KABISA NA JIWE HILO NI UA WA MAKUTI WA MWANNCHI WA TANZANIA ALIYEJENGA KARIBU KABISA NA JIWE HILO KATIKA KIJIJI CHA JASINI. KUSHOTO UNAANGALIA PAA LA NYUMBA YA MWANANCHI WA NCHI YA KENYA AMBAYE NAYE PIA ANATUMIA JINA HILO LA JASINI NA KIJIJI CHAO KIMEANDIKISHWA KATIKA MJI ULIOPO MAKAO MAKUU YA VANGA AMBAKO UNAVUKA BAHARI UNAINGIA KATIKA MJI HUO WA VANGA AMBAO UPO KIASI CHA KILOMITA TATU TU KUFIKA HUKO. UJENZI HUU KWA KAWAITA HAUKUBALIKI KATIKA MIPAKA YA KIMATAIFA KWASABABU UNATAKIWA JIWE HADI NCHI KUNA ACHWA NAFASI YA MITA ZAIDI YA 200 ENEO HILO LINA KUWA HURU 'NOMASY LAND'. |
No comments:
Post a Comment