AOFISA WA BENKI YA CRDB LA MKOANI TANGA AKIANGALIA MOJA YA MASHAMBA YA MPUNGA WILAYANI KOROGWE AMBAYO BENKI HIYO IMEKUWA IKISAIDIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KUWAINUA WAKULIMA. |
MFEREJI WA MAJI YANAYOKWENDA KWENYE MASHAMBA YA MPUNGA AMBAO UMEKARABATIWA KWA MAMILIONI YA FEDHA KWA AJILI YA KUWASAIDIA WAKULIMA WA MPUNGA WILAYANI KOROGWE KULIKOFANYWA NA BENKI HIYO YA CRDB |
No comments:
Post a Comment