Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Tuesday, August 16, 2011
MUVI-SIDO WAZINDUA JARIDA LA NURU YA MAFANIKIO KWA WAJASIRIAMALI
KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ANAYESHUGHULIKIA HUDUMA ZA JAMII BW. NDIBALEMA KISHERU AKIZINDUA SHUGHULI ZA WADAU WA HABARI WA MRADI WA MUVI ULIOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA YCDP JIJINI TANGA, kushoto ni MENEJA WA SIDO MKOANI TANGA BW. SELEMANI MTANI NA kulia ni BW. JOSEPH MAKAZA MKURUGENZI WA HABARI WA MUVI.
WADAU WA HABARI NA MAWASILIANO WAKIFUATILIA KWA MAKINI UZINDUZI WA MRADI WA MUVI
MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUO BW. NDIBALEMA KISHERU AMBAYE NI KATIBU TAWALA MKOANI TANGA (katikati) AKIJIANDAA KUKATA KAMBA MAAMULU YA KUZINDUA JARIDA LENYE HABARI ZA MAMBO MBALIMBALI KUHUSU HABARI ZA MASOKO KWA WAJASIRIAMALI NCHINI. WENGINE kushoto ni MKURUGENZI WA HABARI WA MUVI JOSEPH MAKANZA NA kulia ni BW. SELEMANI MTANI MENEJA WA SIDO
KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA BW. NDIBALEMA KISHERU (katikati) AKISOMA JARIDA LA MRADI WA MUVI MARA BAADA YA KULIZINDUA HUKU MENEJA WA SIDO MKOANI TANGA BW. SELEMANI MTANI AKILIONESHA KWA WADAU WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO YA UZINDUZI ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA YCDP.
No comments:
Post a Comment