ENEO LA BARABARA ILIYOANZA KUWEKWA LAMI NA KAMPUNI YA SINOHYDRO YA CHINA INAYOJENGA BARABARA YA TANGA/HOROHORO KWA KIWANGO CHA LAMI, HAPA NI ENEO LA MPERANI. |
SEHEMU YA BARABARA ILIYOWEKWA TABAKA YA KWANZA YA LAMI (LEAYER) HII NI ENEO LA MTIBWANI AMBAYO TAYARI NAYO IMEWEKWA LAMI. |
ENEO LA MPERANI LINAVYONEKANA KATIKA PICHA. NDUGU MSOMAJI WA BLOGU HII YA WATU NA MATUKIO YA MZEE WA BONDE, BARABARA HII HAWA WACHINA TAYARI WAMEANZA KUWEKA TABAKA YA KWANZA YA LAMI KATIKA ENEO KUANZIA MIKOCHENI AMBONI, HADI KUKARIBIA MTIMBWANI KWA KWELI BARABARA INAPENDEZA NA IKIMALIZIKA HOROHORO HADI MOMBASA ITAKUWA NI MASAA MAWILI TU KAMA MPAKANI HUTACHELEWESHWA. |
No comments:
Post a Comment