|
MKUU WA MKOA WA TANGA MEJA JENERALI SAID KALEMBO (SHOTO) AKIZUNGUMZA NA MKUU WA WILAYA KOROGWE BW. ERASTO SIMA. |
HABARI zilizotufikia saa 4:12 usiku leo zilizomkariri Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Bw. Sima ni kwamba basi la abiria la Harambee lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Moshi, limepinduka katika mji mdogo wa Mazinde wilayani korogwe na kuua watu watatu papo hapo na watu wengine 36 wamejeruhiwa vibaya na hali zao siyo nzuri.
Habari zaidi za tukio hili tutawajulisheni mara tutakapopata taarifa zaidi kesho asubuhi.
No comments:
Post a Comment