Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach

Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach

Tuesday, December 21, 2010

TANGA PRESS CLUB KUFANYA UCHAGUZI JAN 25 2011

UONGOZI WA JUU WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI YA TANGA PRESS CLUB KUTOKA KUSHOTO NI MWENYEKITI WA KLABU HIYO GEORGE SEMBONY, HASSAN HASHIM (KATIBU) NA IRENE MSUMARI MAKAMU MWENYEKITI WA KLABU HIYO WAKIWA KWENYE MKUTANO MKUU AMBAO PAMOJA NA MAMBO MENGINE WALIYOJADILI PIA WAMEPANGA TAREHE RASMI YA KUFANYIKA MKUTANO MKUU WA TPC.


MKUTANO UNAENDELEA


WAJUMBE AMBAO NI WANACHAMA WA TPC WAKISOMA MOJA YA MAKABLASHA WALIYOPEWA YAKIELEZEA NAMNA FEDHA ZILIZOPATIKANA NA MATUMINZI YAKE, NYUMA ALIYESIMAMA BURHAN YAKUB AKIELEZEA NAMNA TPC ILIVYOMUONDOA KWENYE MRADI WA TMF.


KIKOSI KAZI CHA WANACHAMA WA TPC WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO KOMREDI PASCHAL MBUNGA WA KWANZA KULIA, DEGE MASOLI NA KAKURU MSIMU 'KAMANDA' NAO WALIKIWEKA KATIKA WAKATI MGUMU MKUTANO HUO KUTOKANA NA MASWALI YAO YA KUTAKA KUJUA VIONGOZI MBONA WALICHUKUA MUDA MREFU KUITISHA MKUTANO WA UCHAGUZI.

MWANACHAMA SUZY UWINGA 'mama shitua moyo' AKITOA MALALAMIKO YAKE NAMNA WAANDISHI WALIVYOKUWA NA MAMBO AMBAYO WAKATI MWINGINE HAKUONESHI UMOJA WANAPOKUWA MITAANI AKASISITIZA LAZIMA WAANDISHI WAPENDANE KWANI WANAZO FURSA NYINGI ISIPOKUWA UBUNIFU UNAKOSEKANA.

No comments:

Post a Comment