WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KONJE ILIOPO WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA WAKIFURAHI BAADA YA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA AMBACHO KILIKUWA NI MAKANDE AU 'PURE' |
WANAFUNZI WASHULE YA MSINGI KONJE WAKIPATA CHAKULA WAKIWA WAMEKAA KATIKA NYUMBA YA MWALIMU MKUU WA SHULE HIYO NA KUPATA MAKANDE HAYO |
HAWA WENGINE WALIKUWA WAMEMALIZA KULA MAKANDE YAO LAKINI WALIPOMUONA MZEE WA BONDE AKIPIGA PICHA NAO WAKAFIKA ILI NAO WAUZE NYAGO |
No comments:
Post a Comment