Mbunge wa Bariadi Adrew Chenge 'Mzee wa Vijisenti' leo amehukumiwa ama kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini sh 700,000 katika kesi yake ya kuendesha gari lisilokuwa na bima, bila tahadhari, na kusababisha vifo vya watu wawili. Ameachiwa huru baada ya kulipa fedha hizo. Picha kwa hisani ya Regnand Miruko. |
No comments:
Post a Comment