PICHANI NI KIKOSI CHA TIMU YA PAMBA YA MWANZA AMBACHO MAREHEMU NICO BAMBAGA (WA KWANZA KULIA WALIOKAA CHINI) ALIKUWA AKICHEZEA NA KUPATA UMAARUFU HADI UMAUTI WAKE,
MCHEZAJI HUYO ALIFANRIKI JUMATATU WIKI HII KATIKA HOSPITALI YA LUGALO JIJINI DAR ES SALAA KUTOKANA NA UGONJWA WA MAPAFU, BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIDIMIWE-AMIN |
No comments:
Post a Comment