SEHEMU MAARUFU YA MATANUZI KATIKA JIJI LA TANGA...HAPA NI NYINDA UTAPATA MICHEMSHO, NYAMA CHOMA NA VINYWAJI VIKALI NA VYA RANGI YA DHAHABU. LEO ENEO HILI LITAKUWA NA WATU WATAKAOKUWA WAKISHEREHEKEA SIKUKUU YA UHURU, HONGEREENI MIMI NINA MSETO LEO SIKU YA TATU. |
No comments:
Post a Comment