Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Tuesday, December 14, 2010
WADAU BADO WAJADILI SUALA LA MAPENDEKEZO YA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA YA VYOMBO VYA HABARI YA MWAKA 2008
MKURUGENZI WA MISA-TAN BIBI ROSE HAJI AKIWA KWENYE MKUTANO WA KUJADILI MAPENDEKEZO YA WADAU KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA VYOMBO VYA HABARI, 2008 INAYOFANYIKA KWENYE HOTELI YA WHITE PARROT, KOROGWE MKOANI TANGA.
MWANA-SHERIA MOHAMED TIBANYENDELA AKIANDIKA UBAONI MADA MBALIMBALI ZINAZOJADILIWA KWENYE WARSHA HIYO YA MAPENDEKEZO YA WADSAU KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA VYOMBO VYA HABARI MWAKA 2008.
No comments:
Post a Comment