Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach

Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach

Tuesday, December 21, 2010

MUUZA MAGAZETI AKIHESABU MZIGO WAKE KABLA HAJAKWENDA KWA WASOMAJI WAKE

MUUZAJI WA MAGAZETI MITAANI (Street vendor) ALKIYEFAHAMIKA KWA JINA LA HASSAIN AKIHESABU MAGAZETI YAKE KABLA YA KUINGIA MTAANI LEO ASUBUHI BAADA YA KUYACHUKUA KATIKA OFISI ZA MAGAZETI ZILIZOPO BARABARA YA 15 JIJINI TANGA.


ANAENDELEA KUHESABU ILI JIONI AREJESHE FEDHA ZA WATU NA YEYE KUKATA SH.1 YAKE KWA KILA GAZETI.


BADO ANAHESABU HUKU AKITAFAKARI JUU YA HABARI ZA LEO ZA MKUU WA TAKUKURU EDWARD HOSEAH KULALAMIKIA GAZETI LA UINGEREZA KUMWANDIKA VIBAYA KWA KUMCHANGANYA NA RAIS DKT JAKAYA KIKWETE.


No comments:

Post a Comment