MAMA NKUBA (katikati) AKIWA NA WAGENI WAO KUTOKA NCHINI MAREKANI KATIKA JIMBO LA OHIO KATIKA MJI WA TOLEDO AMBAO NI MJI DADA NA JIJI LA TANGA. KUSHOTO NI SHERRY DANSEL NA MWENZAKE MARTIN NAGGY. |
MARTIN NAGGY (kulia) NA SHERRY DANSEL (kushoto) NA KATIKATI NI MWENYEJI WAO MEFAKH DIWANI |
BI HUSNA AKIWA NA WAGENI WA KUTOKA TOLEDO. |
MARTIN NAGGY ALIPOTEMBELEA MOJA YA WAJASIRIAMALI WA KIKUNDI CHA TANGA WOMAN ASSOCIATION GROUP (TWAN) |
WANA-KIKUNDI CHA TWAN WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAGENI WAO WA KUTOKA NCHINI MAREKANI JIMBO LA OHIO TOLEDO. |
No comments:
Post a Comment