MOJA YA MABANGO BORA KABISA AMBALO LILISHIKWA NA WATU KUTOKA WILAYA YA MKINGA HEBU SOMA UONE. |
WAPIGA PICHA TULIKUWA WENGI MNO LAKINI MAMA HUYU ALIKUWA SIYO MCHEZO KILA TUKIO BOMBA UTAMKUTA. |
HAWA NAO WALIKUWEPO NA BANGO LAO CHEKI. |
KWELI ELIMU JUMUISHI INAHITAJIKA NA MAZINGIRA PIA YAWE RAFIKI. |
NI KWELI HAKUNA KITU KWA AJILI YA WATU FULANI. |
BILA UKIMWI INAWEZEKANA, UTASHI WA MTU. |
MSHEREHESHAJI AU MSEMA CHOCHOTE (MC) DADA YETU MAMA BENDERA BAADA YA YOTE ALIPATA MUDA WA KUMSALIMIA MWALIMU BENDERA TANGA SCHOOL. |
MSANII HUYU NAYE ALIKUWEPO NA ALICHEKESHA KWELI KWELI. |
No comments:
Post a Comment