Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Saturday, November 20, 2010
Anayetaka mihogo safi ya kibanda meno hii hapa
Mama rhoda wa Potwe ndondo wilayani Muheza akionesha namna shina moja la muhogo linavyoweza kukua kiasi hiki. Pia anasema anayetaka kununua mihogo apige simu 0767-471707 au amuone mzee wa bonde kwa mahitaji hayo.
No comments:
Post a Comment