Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Monday, November 29, 2010
JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA CHADEMA NCHI NZIMA
JESHI LA POLISI NCHINI LIMEZUIA MIKUTANO YOTE AMBAYO ITAFANYWA NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ILIYOPANGWA KUFANYIKA NCHI NZIMA.
MKURUGENZI WA SHERIA, KATIBA NA HAKI ZA BINADAMU WA CHADEMA MH. TUNDU LISSU (MB) ALIWAELEZA WAANDISHI WA HABARI KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA CHAMA HICHO YALIOPO KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM, ALILALAMIKIA HATUA HIYO AKIDAI KUWA NI KINYUME NA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI.
MIKUTANO HIYO YA CHADEMA ILILENGA KUPITA KWA WANANCHI KUWASHUKURU NA KWAMBA PIA WALITAKA KUWAELEZA NAMNA UCHAGUZI MKUU WA WABUNGE, RAIS NA MADIWANI NAMNA WALIVYOHUDUMIWA KITENDO AMBACHO JESHI HILO LILIONA HUENDA KUKATOKEA UVUNJIFU WA AMANI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment