MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Maalimu Seif Sharrif Hamad, akiapishwa rasmi kuchukua nafasi hiyo baada ya chama chake cha Wananchi CUF kutwaa nafasi ya pili hivyo kutwaa nafasi hiyo kwa mujibu ya kaiba mpya ya Zanzibar ya mwaka 2009 inayoelezea namna ya uundwaji wa serikali ya mseto baada ya maridhiano ya vyama viwili vya CCM na CUF.
No comments:
Post a Comment