WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO BI SOPHIA SIMBA AKIWA NA NAIBU WAKE BI UMMY ALI MWALIMU WAKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO BAADA YA KUWASILI WIZARANI HAPOMKUANZA KAZI LEO MCHANA. |
MH. SOPHIA SIMBA AKITIA SAHIHI KITABU KILICHOPO KATIKA OFISI YAKE LEO ALIPOFIKA KUANZA KAZI RASMI KATIKA WIZARA HIYO. |
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO BI UMMY ALI MWALIMU NAYE AKIWEKA SAHIHI KITABU KILICHOKUWEPO KATIKA OFISI YAKE WIZARANI HAPO LEO MCHANA WALIPOFIKA KUANZA MZIGO. |
No comments:
Post a Comment