Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach

Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach

Saturday, November 20, 2010

Birmingham yaichapa Chelsea 1-0

 Ni dakika ya 17 kipindi cha kwanza mchezaji Lee Bowyer  wa timu ya Birmingham akifunga goli tamu liliitoa kifua mbele dhidi ya 'Matajiri wa Londan' Chelsea katika mchezo uliofanyika leo jioni kwenye uwanja wa West Midlands.
 Kocha wa Birmingham Alex McLeish akihojiwa na mtangazaji wa BBC hayupo pichani mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea.
Kocha wa Chelsea Carlo Ancelotti's akizungumzia mpambano huo ambao hata hivyo pamoja na kufungwa bado anaongoza kileleni kwa tofauti ya magoli na Manchester united ambao wameshinda bao 2-0 na kufikisha pointi 28 kama Chelsea ambayo inaongoza kwa idadi ya magoli.

Vikosi vilipangwa hivi

Birmingham

Akiba

Chelsea

Akiba

Refa alikuwa Halsey katika uwanja huo wa West Midlands ambao watu 24,357 waliingia uwanjani.

No comments:

Post a Comment