WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, BI. HAWA GHASIA AKILAKIWA NA KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO BW. GEORGE YAMBESI (KULIA) HUKU MKURUGENZI MKUU WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA HIYO BW. ALOYCE MSINGWA (KUSHOTO) AKIMKABIDHI SHADA LA MAUA KAMA FURAHA YA KUMKARIBISHA WAZIRI HUYO LEO KATIKA WIZARA HIYO BAADA YA KUAPISHWA JUMAMOSI ILIYOPITA. |
Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Monday, November 29, 2010
WAZIRI HAWA GHASIA ATINGA OFISINI KWAKE LEO APOKEWA KWA FURAHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment