ALIYEKUWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MH. JOHN CHILIGATI AKIMKABIDHI MAKLABASHA NA NYARAKA MBALIMBALI WAZIRI MPYA WA WIZARA HIYO PROFESA ANNA TIBAIJUKA. MAKABIDHIANO HAYO YALIFANYIKA JANA WAKATI WAZIRI HUYO ALIPOFIKA KUANZA KAZI KATIKA WIZARA YAKE HIYO MPYA. KULIA NI KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO BW. PATRICK RUTABANZIBWA. |
No comments:
Post a Comment