KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA BW. PAUL AMANIEL CHIKIRA (SHOTO) NA ENG. REYMOND MHANDO AMBAYE NI MWENYEKITI WA TANGA-UWASA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAONI YANAYOTOLEWA NA WADAU WA TANGA-UWASA. |
MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA MAJITAKA YA JIJI LA TANGA (UWASA) ENG. JOSHUA MGEYEKWA AKISOMA MAPENDEKEZO YA KUONGEZA BEI YA MAJI KATIKA JIJI HILO LEO ASUBUHI. |
MDAU WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA MAJITAKA YA JIJI LA TANGA-UWASA BOB. NASSER MAKAU ALIKUWA NI MMOJA YA WA WADAU WALIOTOA MAONI KWENYE MKUTANO HUO ULIOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MKUU WA MKOA LEO ASUBUHI. |
SALIM BAWAZIR (kulia) MMOJA YA WADAU WAKUBWA WA TANGA UWASA AKITOA MAONI YA KUIPONGEZA MAMLAKA HIYO KWA KAZI NZURI INAYOFANYA YA KUSAMBAZA MAJI KWA WAKAZIZ WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE. |
MKURUGENZI WA WA EURA BW. FELEX NGAMLAGOSI AKIZUNGUMZA NA WADAU KWENYE MKUTANO HUO. |
No comments:
Post a Comment