MWANAMUZI MKONGWE WA MUZIKI WA DANSI NCHINI MAALIMU MUHIDIN GURUMO AMBAYE WIKI ILIYOPITA ALILAZWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA KUSUMBULIWANA UGONJWA WA MAPAFU KUJAA MAJI KABLA YA KUHAMISHIWA KWENYE WODI YA UANGALIZI MAALUMU ICU BAADA YA HALI YAKE KUWA MBAYA, MAPEMA LEO MCHANA HALI YAKE ILIBADILIKA NA KUWA NZURI NA KUTOLEWA KWENYE CHUMBA HICHO NA KULAZWA KATIKA WODI YA MWAISELA NAMBA 1. PICHANI AMBAPO HATA HIVYO TUNASIKITIKA KWA KUTOONEKANA VIZURI (KOMRADHI) NI MZEE MAKASSY MMOJA YA WANAMUZIKI NGULI HAPA NCHINI AKIMJULIA HALI MWANAMUZIKI MWENZAKE ALIPOFIKA HOSPITALINI HAPO LEO. |
Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Monday, November 29, 2010
KAMANDA MAALIMU GURUMO ATOKA ICU ALAZWA SASA ALAZWA MWAISELA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment