Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Saturday, November 27, 2010
JK AWAAPISHA MAWAZIRI WA SERIKALI YAKE IKULU LEO
MAWAZIRI WAKIWA WAMEKAA IKULU LEO WAKISUBIRI KUAPISHWA KUTOKA KUSHOTO NI WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, SHUKURU KAWAMBWA, WAZIRI WA KILIMO,CHAKULA NA USHIRIKA PROF. JUMANNE MAGHEMBE NA WAZIRI OFISI YA RAIS MAHUSIANO NA URATIBU MH. STEPHEN WASIRA.
NAIBU WAZIRI WA UJENZI DKT. HARISON MWAKYEMBE AKIELEKEA KWENYE ENEO LA KUPISHWA IKULU LEO.
WAZIRI WA UJENZI BW. JOHN POMBE MAGUFURI, NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKLONOJIA MH CHARLES KITWANGA 'MAWE MATATU', WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF. ANNA TIBAIJUKA NA WAZIRI WA UCHUKUZI ENG. OMARI RASHID NUNDU 'ZINDABAA'.
NAIBU WAZIRI WA UJENZI PROF. HARISON MWAKYEMBE NA FAMILIA YAKE
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIMPONGEZA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUAPISHWA NA ALIMKABIDHI NYARAKA MBALIMBALI ZA KUFANYIA KAZI IKULU LEO JIJINI DARE SALAAM.
No comments:
Post a Comment