Kocha wa Arsenal Asener Wenger akifuatilia kwa makini timu yake ambayo ilikuwa ikiongoza bao 2-0 hadi mapumziko kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Emeretes na kuifanya timu hiyo kuvutwa shati na Manchester United ambayo imepanda hadi nafasi ya pili ikiwa pointi sawa na Chelsea zote zimefikisha pointi 28 na Arsenal wamebaki na pointi 26.
Matokeo mengine ya mechi za leo ni
- Arsenal 2-3 Tottenham
- Birmingham 1-0 Chelsea
- Blackpool 2-1 Wolves
- Bolton 5-1 Newcastle
- Liverpool 3-0 West Ham
- Man Utd2-0Wigan
- West Brom 0-3 Stoke
|
No comments:
Post a Comment