Baadhi ya wafanya usafi wa Jiji la Tanga wakiendelea kulisafisha Jiji hilo baada ya kusimama kwa muda kupisha shughuli za uchaguzi, usafi ulipofanika kabla ya uchaguzi ulitawaliwa na maneno mengi kutokana na wamachinga kuonolewa katika maeneo ambayo hayaruhusiwi.
No comments:
Post a Comment