Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakitazama moja ya miradi wilayani Muheza katika kijiji cha Potwe-Ndondondo walipotembelea kikao kilichopita. Mwenye balaghashia ni DC wa Handeni Kanal mstaafu Seif Mpembenwe.
Mnaona kule wanavyojenga, jengo halikuzingatia viwango hapa fedha za serikali zimeliwa hapa haiwezekani jengo hili hadi sasa milioni 7 zilizotolewa na halmashauri wafikishe kwenye leta, haya ni matuminzi mabaya ya fedha za serikali, ndivyo alivyokuwa akisema Mkuu wa mkoa wa Tanga meja jenerali mstaafu Said Kalembo alipokuwa kikagua jengo la Kijiji cha Potwe, wengine nyuma yake ni msaidizi wake Joseph Sura.
Yaani hukula bado! lakini si umelima na mwaka huu mahindi mengi? Mkuu wa mkoa wa Tanga Meja Jenerali (Mstaafu) Said Kalembo akimuuliza mkazi huyu wa kijiji cha Potwe Ndondondo maisha yanavyokwenda kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment